Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize, je yeye hana mkopo?

Wakati anakaribishwa alitambulika kama nani ni mwananchi wa kongwa au spika.
Ili spika awe ameongea ni lazima awe kwenye joho lake, awe bungeni, kuwepo na kawa, maongezi yawekwe kwenye kumbukumbu za bunge.

Kinyume na hapo kaongea Ndugai
 
Ndo maana mpango yupo kimya sio mtu wa matukio.
 
Rais Samia kajifunza uungwana pote alipopita mpaka kuwa kiongozi mkuu wa Tanzania. Hawa enzi za JPM wasingeropoka haya wanayoropoka leo hii.

Uungwana ni pamoja na kujipanga dhidi ya mikakati ya wanasiasa maslahi wanaoongea na wewe tofauati na wanavyoongea ukiwa haupo jukwaani.
 
Kukopa sio tatizo unafanyia nini.
Unakopa
1.unanulia wapinzani
2.unajenga Chato airport ije iote nyasi
3.dodoma isiyo tija.
4.unarudia chaguzi feki.
5.unafadhili wasiojulikana
6.kununua ndege zipark
Kopa wekeza kwenye uzalishaji.Na sio kufurahisha wanasiasa
 
Ukishamuiliza hivyo muulze Tena anautumiaje, je anautumia ipasavyo!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…