Nimekuwa nikimsikia Slaa kila mara akimsema yeyote anayempinga kuhusu upotoshaji wake eti siyo size yake. Majuzi tu alimwambia rostam Aziz eti siyo size yake na Leo kamwambia Feleshi eti siyo size yake na ikumbukwe aneshamwambia Nape eti siyo size yake na kuna siku alimwambia Zitto eti siyo size yake.
Amebskisha kumwambia Mungu tu kwamba siyo size yake.
Amebskisha kumwambia Mungu tu kwamba siyo size yake.