Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Ukiona mtu wa hivi JF ujue anatafuta kiki

Hahahahahahaaa

Kuuliza si ujinga japo gugo na kamusi ipo, saa ingine maana inakaa ukisimuliwa.

Hivi Kiki ndo nini? Wanaposema mtu anatafuta Kiki wanamaanisha nini?

Kuna kitu anakuwa amekipoteza ndo anakitafuta kwa watu au ...... kiukweli nausikia tuu huo msemo ila sielewi wanaanishaga nini.

Kasie.
Mi nakusalimu tu mpenzi wangu,

Sina mengi sana kwa leo.

Tafadhali ukishapata jibu usisahau kuniPM.

Mwwwah kwa lips zetu kama kawa.....
 
1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.

2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi aonekane na yeye basi yupo na watu wamjue.

3. They always go against the trend. Unakuta thread inahusu maloveee anatokea mwehu ana comment "JK FISADI" ili mradi watu wa pay attention.

4. Wanapenda kujidai wanawafaham na wanamazoea na wale members ambao ni ma pro. Utaona tu kaandika comment halafu anajidai kum tag Nyani Ngabu, The Boss, lara 1, Bitoz, Valentina, miss chagga, faiza Fox..... Ndugu yangu wewe Id yako yenyewe ya juzi halafu unajidai eti unawafaham ma pro wa JF... unatafuta kiki.

5 Kila thread lazima acomment hata kama hana cha maana cha kuandika na haimuhusu.

6 Kama ni mwanaume basi atataka aonekane yeye Handsome boy matawi ya juu na kama ni ke basi atatafuta namna tu kwenye comment zake ajioneshe yeye wa moto na ni girl wa ukweeee, kumbe hamna kitu.

Embu ongezeeni nyingine tuwanange watafuta kiki wote wa JF....
Kama wewe ulivyowatag kwa kujikosha.
 
Ushawaita watu maprostitutes afu unazuga kijanja... acha zako we dogo.
Hahahahaaa huko sipo mkuu. We ndo umewatukana mimi simo... aisee watu wanajua kutumia fursa. yaani kuto malizia professional wewe ushaweka yako
 
Hahaha kwani Naantombe lina shida gani mkuu? Mbona jina zuri hivo? We ukija kumpa mtoto wako utaona maajabu
Ha ha ha ha Mama Mkwe hawezi kumuita mjukuu wake. Atadhani ni kudoo.

JPM Karudisha Balozi mmoja hivi kisa Jina kama lako, chezea JPM ata ww atakuswaga Kenya: Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom