Ma prostitutes. We kiingerezea kimekuwa veepee???Ma pro ni watu gani?
Njoo kule bhanaAtaweka ID ya ajabu ili ku "catch" attention za wanajukwaa... Mfano Naantombe Mushi
Ushawaita watu maprostitutes afu unazuga kijanja... acha zako we dogo.Ma pro ni wale members wa siku nyingi yaani wameshakuwa ma professional.
Mi nakusalimu tu mpenzi wangu,Hahahahahahaaa
Kuuliza si ujinga japo gugo na kamusi ipo, saa ingine maana inakaa ukisimuliwa.
Hivi Kiki ndo nini? Wanaposema mtu anatafuta Kiki wanamaanisha nini?
Kuna kitu anakuwa amekipoteza ndo anakitafuta kwa watu au ...... kiukweli nausikia tuu huo msemo ila sielewi wanaanishaga nini.
Kasie.
Gadem you babu....Ma prostitutes. We kiingerezea kimekuwa veepee???
Kama wewe ulivyowatag kwa kujikosha.1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.
2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi aonekane na yeye basi yupo na watu wamjue.
3. They always go against the trend. Unakuta thread inahusu maloveee anatokea mwehu ana comment "JK FISADI" ili mradi watu wa pay attention.
4. Wanapenda kujidai wanawafaham na wanamazoea na wale members ambao ni ma pro. Utaona tu kaandika comment halafu anajidai kum tag Nyani Ngabu, The Boss, lara 1, Bitoz, Valentina, miss chagga, faiza Fox..... Ndugu yangu wewe Id yako yenyewe ya juzi halafu unajidai eti unawafaham ma pro wa JF... unatafuta kiki.
5 Kila thread lazima acomment hata kama hana cha maana cha kuandika na haimuhusu.
6 Kama ni mwanaume basi atataka aonekane yeye Handsome boy matawi ya juu na kama ni ke basi atatafuta namna tu kwenye comment zake ajioneshe yeye wa moto na ni girl wa ukweeee, kumbe hamna kitu.
Embu ongezeeni nyingine tuwanange watafuta kiki wote wa JF....
Gadem to you too bebi......Gadem you babu....
Hahahahaaa huko sipo mkuu. We ndo umewatukana mimi simo... aisee watu wanajua kutumia fursa. yaani kuto malizia professional wewe ushaweka yakoUshawaita watu maprostitutes afu unazuga kijanja... acha zako we dogo.
Hahaha kwani Naantombe lina shida gani mkuu? Mbona jina zuri hivo? We ukija kumpa mtoto wako utaona maajabuWw Naantombe Mushi hivi ID zimeisha?
kama mm na ww vileMa pro ni watu gani?
Mi nimetoa mfano tu ndugu. Mimi kiki ya kazi gani sasa?Kama wewe ulivyowatag kwa kujikosha.
Shenzy taipuGadem to you too bebi......
jinsia yako tafadhali maana hilo jina la MTWARAHahaha kwani Naantombe lina shida gani mkuu? Mbona jina zuri hivo? We ukija kumpa mtoto wako utaona maajabu
HA HA BABU YAO UMEUA HAPOMa prostitutes. We kiingerezea kimekuwa veepee???
Ha ha ha ha Mama Mkwe hawezi kumuita mjukuu wake. Atadhani ni kudoo.Hahaha kwani Naantombe lina shida gani mkuu? Mbona jina zuri hivo? We ukija kumpa mtoto wako utaona maajabu
Ndo salamu ya wapi hii?Gadem you babu....
Kadem ndo nini mkuu?Gadem to you too bebi......