Ukiona mwanamke kaacha kukupenda, achana naye kabla hujaachwa

Ukiona mwanamke kaacha kukupenda, achana naye kabla hujaachwa

Upo sahihi mkuu, nilikua na demu nilitokea kumpenda na yeye akanipenda.

Kwa kuwa nilikua na kazi na yeye hana nikaamua kumpambania mpaka akapata kazi tena nzuri ofisi ya mshkaji angu.

Aliivyoanza kushika vipesa vya hapa na pale nikaanza kuona mabadiliko. Ikawa sometimes nikiomba faragha visingizio haviishi, mara niko bize kazini mara naumwa, nikitaka kwenda kumpokea kazini anajivuuuta kunijibu na wakati mwingine nikifika kazini kwao nakuta ameshaondoka nikimchek ananiambia Amepata lift.

Kufikia hapo mie red flag 🚩 zikaanza kujionyesha bila kificho lakini kidume sikutaka kuamini hali halisi nikazidi kukaza shingo.

Kuna siku nampigia simu ikawa inatumika kama dk5 hivi mfululizo(kidume najipa moyo labda anaongea na mama yake) baada ya hapo simu ikawa inaita ila haipokelewi baadae ikawa haipatikani kabisaaa hakuna siku nilipagawa kama siku hiyo.

Baada ya muda kidogo naona txt inaingia nikaifungua kwa kimuhemuhe, sasa kila nikiisoma naona mbona kama hii txt hainihusu mimi? Kumbe demu alikosea badala ya kumtumia bwana ake mpya akawa ameituma kwangu. Daaaaah!!!! Hakuna siku niliumia kama siku ile, nampigia kumuuliza akanichana live kwamba kwa sasa hayupo comfortable kuwa na mimi labda tupeane likizo. Nilichofanya nikafuta kila kitu kumuhusu halafu nikaanza mtihani mzito wa kumsahau ilichukua muda ila nilifanikiwa
Safi Sana kamanda 🙏🙏
 
Am not an hostage, am free.
I make mistakes except that one!
 
Attachments

  • 50cent[Trim].mp4
    1.9 MB
Dawa ni moja mwanaume usiwe na mwanamke mmoja hao viumbe ni hatar akijua yy ndio kila kitu. Wachakaze kadri uwezavyo halafu ishi maisha yako hata akilia machozi ya damu mwache alie vichwa vyao vimejaa ugoro tu.

Halafu kuna atakaye kuja hapa na kusema sio wote labda wa kwako huyo ndio ugoro namba moja
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom