Ukiona mwanamke kakaa uchi unapata nini?

Did you ever ask yourselves why do men risk a lot for that "thing" than they do for basic necessities like food or water???......
 
Kama ni ndugu yangu (say Mama, dada etc) jibu ni hapana...huwezi angalia mara mbili!

mpendwa,

tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda kuangalia hata tupu za ndugu zao wa karibu kama mama, dada, shangazi zao etc. hii ni nature tu. mfano watoto wanaolala chumba kimoja na wazazi wao hata wakiambiwa wajifunike shuka mama anabadili nguo huwa wanachungulia. au kama wazazi wanafanya mapenzi na watoto wao wamelala humo chumbani, wakisikia misukosuko huwa wanachumgulia kimyakimya!

zamani ilikuwa mwanaume anavutiwa na mwanamke nyakati fulanifulani tu hasa vile vipindi vya wanawake vinavyoitwa "hot" na alikuwa akivutiwa na harufu fulani itokayo mwilini mwa mwanamke. ila kwa sababu ya zinaa, siku hizi wanatamani kila siku na wanamtamani kila mwanamke na hata harufu za wake zao hawazijui japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote

acheni Mungu aitwe Mungu!
 
Reactions: SMU
Mm nafkiri wa2 wengi wamejawa sn na tamaa za ngono,ndio maana akimwangalia mwanamke akiwa uchi,
fikra zake zinakwenda mbali,badala ya kuchukulia ni jambo la kawaida.
 
By Mwanamayu
Labda tugeuze swali, je ni kwa nini sehemu inafichwa?




Kwa hakika dunia inakoelekea sio kuzuri, Ingekuwa hivyo tusingevaa nguo. Sehemu hizo ndio maana zikaitwa sehemu za siri.
 
Did you ever ask yourselves why do men risk a lot for that "thing" than they do for basic necessities like food or water???......


Naaaaaaaah.......................tell me pls.
 
Wanaume wanakodolea macho maungo yote tu ya kinamama. Maeneo yenye kuvutia macho ya wanaume ni pamoja na:
  • Uso hasa kama unalipa: kwenye uso wengine wanaagalia macho, wengine midomo (lips), wengine mashavu etc.
  • Wengi wetu tunaangalia chini kidogo ya uso yaani shingo na kifua: tena na hizi sidiria zao za kisasa ndio burudani tosha kabisa.
  • Ukishuka chini tena unakuta kiuno na mabastola. Hapa ndio kabisa pana maliza wanaume wengi na panatoa picha ya mambo yaliyo ndani na nyuma.
  • Ukigeuka unakuta mgongo na hasa sehemu inayozunguka wakati mwanamama akitembea.
  • Baada ya hapo wengine wanaangalia miguu kama inalipa au vipi.
Hayo yote wanaume tunaangalia wakati mwanamama amevaa akiwa amevaa nguo zake. Kwa kwa taarifa yenu hata waliovaa baibui hasa zile zinazonasa miili yao huwa tunaangalia tu na kuimagine. Sasa ukimkuta amevua nguo zote hapo unadhani kutatokea nini? Kibogo ya wanaume ni wale kinamama wanaovaa burka (kininja) hapo huwa hatuna ujanja.
 
Kwa hakika dunia inakoelekea sio kuzuri, mtu mzima na akili zake anafurahia kumuona mwenzio akiwa uchi huu ni uelewa au matope. Jambo la mtu kukaa uchi ni la kufurahia kwa Mtu na Mtuwe, nikimaanisha Mwanaume na Mkewe, tofauti na hapo ni dhambi.
 

Hizi harufu zenu za kununua madukani zinatuchanganya siku hizi. Hawa wake zetu wenyewe kila siku wanabadilika harufu kutegemea na uturi walioweka. Hili la uwezo wa kuhimili tendo la ndoa inadidi utuombe radhi labda kama ungekuwa umeshatembea na wanaume wote na kuthibitisha kuwa uwezo wao umeshuka.
 
siku hizi wanatamani kila siku na wanamtamani kila mwanamke na hata harufu za wake zao hawazijui japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote!

Naomba ututhibitishie kama utafiti wako una ukweli kiasi gani, kumbuka umesema wanaume wote...........
 

Hapo kwenye Red Judy intabidi utuombe radhi bana
Sio wote hawana uwezo huo au wanatumia viwapa vnguvu akina valuer na konyagi na supu ya pweza
wengine ni natural bana nguvu bado zipo za kumwaga
 

Kama tukizungumzia watu wazima, naamini ni wanaume wachache sana (nakubali sijafanya utafiti wowote) ambao anaweza baada ya kugundua dadake/mama yake amekaa vibaya(uchi) anaweza kuendelea kutizama (at least kwa tamaduni nyingi za kitanzania/kiafrika).

..... japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote

Hapa sijakuelewa vizuri:thinking:....hebu fafanua zaidi!

...acheni Mungu aitwe Mungu!
Amen.
 
Hapo kwenye Red Judy intabidi utuombe radhi bana
Sio wote hawana uwezo huo au wanatumia viwapa vnguvu akina valuer na konyagi na supu ya pweza
wengine ni natural bana nguvu bado zipo za kumwaga

Pia kuna dawa za nguvu za kiume zinatangazwa kila siku kwenye vyombo vya habari kama: Faru, Mzakaru, Super Shaft, Kiboko, Mshedede, Mkuyati nk. ina maan pamoja na dawa zote hizo bado mnadai kuwa wanaume wote wamepoteza channel ya tendop la ndoa! hii si kweli kabisa...
 
Labda tugeuze swali, je ni kwa nini sehemu inafichwa?
<br />
<br />
Inafichwa ili iwe adimu, au labda kama na wewe unaificha waweza kuwa na sababu ya kufanya hivyo. Na kama ndivyo, sababu ni gani ?
 

hao wazushi hakuna hata moja iliyoproove kuwa ni kweli inaondoa tatizo
wanaume bado wapo wenye nguvu halisi ambazo sio za madawa
Hao wanaotumia viwapa nguvu hao tuna wasi wasi nao
 
it honestly sucks.ladies...miili yenu ni mizuri respect them and protect them from being soko la kutazamwa....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…