Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni ndugu yangu (say Mama, dada etc) jibu ni hapana...huwezi angalia mara mbili!
Did you ever ask yourselves why do men risk a lot for that "thing" than they do for basic necessities like food or water???......
mpendwa,
tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda kuangalia hata tupu za ndugu zao wa karibu kama mama, dada, shangazi zao etc. hii ni nature tu. mfano watoto wanaolala chumba kimoja na wazazi wao hata wakiambiwa wajifunike shuka mama anabadili nguo huwa wanachungulia. au kama wazazi wanafanya mapenzi na watoto wao wamelala humo chumbani, wakisikia misukosuko huwa wanachumgulia kimyakimya!
zamani ilikuwa mwanaume anavutiwa na mwanamke nyakati fulanifulani tu hasa vile vipindi vya wanawake vinavyoitwa "hot" na alikuwa akivutiwa na harufu fulani itokayo mwilini mwa mwanamke. ila kwa sababu ya zinaa, siku hizi wanatamani kila siku na wanamtamani kila mwanamke na hata harufu za wake zao hawazijui japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote
acheni Mungu aitwe Mungu!
siku hizi wanatamani kila siku na wanamtamani kila mwanamke na hata harufu za wake zao hawazijui japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote!
mpendwa,
tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda kuangalia hata tupu za ndugu zao wa karibu kama mama, dada, shangazi zao etc. hii ni nature tu. mfano watoto wanaolala chumba kimoja na wazazi wao hata wakiambiwa wajifunike shuka mama anabadili nguo huwa wanachungulia. au kama wazazi wanafanya mapenzi na watoto wao wamelala humo chumbani, wakisikia misukosuko huwa wanachumgulia kimyakimya!
zamani ilikuwa mwanaume anavutiwa na mwanamke nyakati fulanifulani tu hasa vile vipindi vya wanawake vinavyoitwa "hot" na alikuwa akivutiwa na harufu fulani itokayo mwilini mwa mwanamke. ila kwa sababu ya zinaa, siku hizi wanatamani kila siku na wanamtamani kila mwanamke na hata harufu za wake zao hawazijui japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote
acheni Mungu aitwe Mungu!
mpendwa,
tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda kuangalia hata tupu za ndugu zao wa karibu kama mama, dada, shangazi zao etc. hii ni nature tu. mfano watoto wanaolala chumba kimoja na wazazi wao hata wakiambiwa wajifunike shuka mama anabadili nguo huwa wanachungulia. au kama wazazi wanafanya mapenzi na watoto wao wamelala humo chumbani, wakisikia misukosuko huwa wanachumgulia kimyakimya!
..... japo pia uwezo wa kuhimili tendo la sex umeshuka kwa wanaume wote
Amen....acheni Mungu aitwe Mungu!
Hapo kwenye Red Judy intabidi utuombe radhi bana
Sio wote hawana uwezo huo au wanatumia viwapa vnguvu akina valuer na konyagi na supu ya pweza
wengine ni natural bana nguvu bado zipo za kumwaga
<br />Labda tugeuze swali, je ni kwa nini sehemu inafichwa?
Pia kuna dawa za nguvu za kiume zinatangazwa kila siku kwenye vyombo vya habari kama: Faru, Mzakaru, Super Shaft, Kiboko, Mshedede, Mkuyati nk. ina maan pamoja na dawa zote hizo bado mnadai kuwa wanaume wote wamepoteza channel ya tendop la ndoa! hii si kweli kabisa...