Ukiona mwanamke wa JF kafunga PM yake ujue huyo mwepesi mwepesi

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Hata Yesu na Mohamed walijaribiwa ili kushinda majaribu ya shetani.Turudi kwenye mada ninaposema Mwepesi mwepesi namaanisha yaani mlaini laini ndio maana anafunga profile lake huyu hana tofauti na mwanamke ambaye umemuoa unaishi naye then analock kwa password simu yake
 
Hiyo red hapo ni tofauti kabisa na hoja yako...

Anayefunga PM ni mwanamke asiyependa spotispoti lakini anayeweka password ni anayependa spotispoti ndio maana ameiweka ili mmewe asiuone mchezo wake.

Siku nyingine kabla hujaanzisha thread uniPM ili nikupe ushauri... maana kwa dizaini hii watakucheka watu.
 
ha ha ha mkuu asprin wala sijakosea bali nimeweka kama msisitizo mwishoni
 
Akuone umpe ushauri, kwani kichwa chako ni standard ya ufahamu?
 
Hakuna mshumaa mgumu mbele ya kaa la moto.

Wanawake wote ni wepesi sana....just the matter of timing & proper procedures.
aiseeee kweli huu mchezo hautaki hasiraa kabisaa
 
It's crap, and probably a trap. But beware of any mama who'll come and tryna be defensive in any way about this, something is not right.
 
Si tulishakubaliana humu tuache hizi attacks?
mara wanawake wa kichaga
mara wa JF
mara wanaume wa Dar....

hamjifunzi kitu?

hata akiwa mwepesi so what?
una kidumu humu nini mbona mwishoni umewaka sana brother,tuambiane bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…