Ukiona mwanamke wa JF kafunga PM yake ujue huyo mwepesi mwepesi

Ukiona mwanamke wa JF kafunga PM yake ujue huyo mwepesi mwepesi

Wengine mnafunga muonekane wa maana wakati hakuna hata siku moja mmepata message.
 
Hata Yesu na Mohamed walijaribiwa ili kushinda majaribu ya shetani.Turudi kwenye mada ninaposema Mwepesi mwepesi namaanisha yaani mlaini laini ndio maana anafunga profile lake huyu hana tofauti na mwanamke ambaye umemuoa unaishi naye then analock kwa password simu yake
Hahahha mkuu kwahiyo unamaanisha kina miss chagga shunie miss natafuta nk ni maji mara moja???
 
Back
Top Bottom