mm mbona unanitania sijakupa mzigoHahaaa ah wapi.
Kuna wengine hata ukiwa unatania tu mwenzio anaingia laini na unakula mzigo.
Easy come easy go.
mm mbona unanitania sijakupa mzigo
haujawai ngoja nisubili na mm kuombwaKwani nimewahi kukuomba?
haujawai ngoja nisubili na mm kuombwa
Hebu fanya kunifolo basi nikuone bana...WEWE UNAONEKANA MZITO MZITO NDO MAANA MILANGO HAUJAFUNGA HALAFU NINA MIAKA 4 SIJAKUFOLLOW
eenh unakosa vizuriKUMBEEE UKIWA MZITO UNAKOSA VIZURI
Hahahha mkuu kwahiyo unamaanisha kina miss chagga shunie miss natafuta nk ni maji mara moja???Hata Yesu na Mohamed walijaribiwa ili kushinda majaribu ya shetani.Turudi kwenye mada ninaposema Mwepesi mwepesi namaanisha yaani mlaini laini ndio maana anafunga profile lake huyu hana tofauti na mwanamke ambaye umemuoa unaishi naye then analock kwa password simu yake
mmmmh!