johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sahivi ni Mtendaji hakuna cha maana anafanya huyu shetani kutwa kusifia wazeeNatoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele
ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele
[B]Lucas Mwashambwa[/B] badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi
Ahsanteni sana π
Mbona kama unamsema mzee wa kububujikwa na gentlemenNatoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele
ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele
Lucas Mwashambwa badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi
Ahsanteni sana π
Haya majinga haswaTlaatlaah na wasira wake
Kwamba ni UWT mkuu?Haya majinga haswa
Hawa dada zetu ni wajinga haswa, huko UWT sijui huwa wanafundishwa nini?Kwamba ni UWT mkuu?
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele
ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele
Lucas Mwashambwa badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi
Ahsanteni sana π
Mpuuzi mkubwa, pokea ushauriUkishajimiminia na kushiba ulanzi wako unaanzaga kuleta vurugu zako humuππ
Ulichokiongea kinaendana sana na asili ya mtu au kabila,kuna makabila mengine kusifia kwao ni jadi toka mababu na mabibi zao,mfanoNatoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele
ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele
Lucas Mwashambwa badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi
Ahsanteni sana π
Hahaha wana siasa mna kazi kwel.ukiona mwanasiasa mdomo na makele mengi ana kimbia mdahalo bila sababu ya msingi, ujue huyo hana hoja wala agenda na, ni kibaka au tapeli omba omba pesa wa kisiasa π
chukua hiyo point itakusaiadia gentleman,Hahaha wana siasa mna kazi kwel.
Mkuu inabidi tuwatafutie ulingo mzichape kama vipiπchukua hiyo point itakusaiadia gentleman,
mwanasiasa asie na ajira wala kazi, mwenye maono, agenda, hoja na malengo hakimbii mjadala wala hachagui wakupambana nae jukwaa,
huyo kibaka ana tabia zile za kimaskini jeuri,
huna kitu lakini una komaa mpaka misuli ya shingo inakutoka kwamba unacho dah π€£
aah,Mkuu inabidi tuwatafutie ulingo mzichape kama vipiπ