Pre GE2025 Ukiona Mwanasiasa Kijana anamsifia Mwanasiasa mzee elewa kuwa Huyo Kijana hana Maono kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele

ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele

[B]Lucas Mwashambwa[/B] badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi

Ahsanteni sana 😄
Sahivi ni Mtendaji hakuna cha maana anafanya huyu shetani kutwa kusifia wazee
 
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele

ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele

Lucas Mwashambwa badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi

Ahsanteni sana 😄
Mbona kama unamsema mzee wa kububujikwa na gentlemen
 
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele

ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele

Lucas Mwashambwa badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi

Ahsanteni sana 😄

Mbatizaji haya mambo tunayachukulia powa lakini yana impact kubwa especially kwa vizazi vijavyo. Siku hizi uchawa umekuwa ajira rasmi. Huwezi kulaumu watu kwa hili.

Juzi mkuu Lord denning alipandisha uzi humu akionyesha jinsi uchawa ulivyoiua Congo. Kiukweli kwa sasa hata Tanzania uchawa umetamalaki. hakuna merit tena iwe kwenye kazi za kuajiriwa, ziwe tenda za umma au chochote.
Hii ni hatari. Ukweli ni kwamba madhara ya hili yatatugusa wote. kila mtu kwa mda wake. ni swala la mda tuu. Kwa hiyo hawa akina Lucas Mwashambwa usiwalaumu, hawana mechanism nyingine ya kuendesha maisha, zaidi ya kuwa chawa na kuwasifia watawala. it is a reality we live in.

Wenyewe wanasema: Ogopa kufanya maamuzi ukiwa na njaa. siku ukishiba, unaweza jutia maamuzi yako.
 
Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele

ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa vyenu vimebeba nini zaidi ya nywele

Lucas Mwashambwa badala ya kumuimbia Mapambio Kafulila hebu jaribu kutuonesha wewe ukipewa Utendaji wa Kijiji utawafanyia nini Wananchi

Ahsanteni sana 😄
Ulichokiongea kinaendana sana na asili ya mtu au kabila,kuna makabila mengine kusifia kwao ni jadi toka mababu na mabibi zao,mfano
 
ukiona mwanasiasa mdomo na makele mengi ana kimbia mdahalo bila sababu ya msingi, ujue huyo hana hoja wala agenda na, ni kibaka au tapeli omba omba pesa wa kisiasa 🐒
Hahaha wana siasa mna kazi kwel.
 
Hahaha wana siasa mna kazi kwel.
chukua hiyo point itakusaiadia gentleman,
mwanasiasa asie na ajira wala kazi, mwenye maono, agenda, hoja na malengo hakimbii mjadala wala hachagui wakupambana nae jukwaa,

huyo kibaka ana tabia zile za kimaskini jeuri,
huna kitu lakini una komaa mpaka misuli ya shingo inakutoka kwamba unacho dah 🤣
 
Mkuu inabidi tuwatafutie ulingo mzichape kama vipi😆
 
aah,
sema kama kuzipiga kavukavu kibaka si ana matatizo kwahiyo itakua ni kosa kupigana nae kulingana na alivyo,
kama ilivyo mtu timamu ni kosa kupigana na mlevi alie lewa, so ntaumiza mtu vibaya sana,

sihitaji kuzichapa kavu kavu, tuchapane kwa hoja na agenda tu kisiasa 🐒
 
Back
Top Bottom