Ukiona Mwanaume anatetea sana Wanawake tambua kuwa ni mpenda Ngono

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Niulize kwanini......
Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya kike mara apate haki fulani.

Wengi ni wapenda NGONO ndo maana upiga kelele sana, Mwanaume kamili huwezi mkuta anazungumzia mwanamke sijui haki sawa sijui 50/50. Point hiko hapa haya masuala ya kugawa mali yalianzishwa na Mwanaharakati wa kiume mpenda wanawake na wanawake now ushaona fulsa baada ya kuchoka kudanga sasa wameona fulsa kwenye ndoa.

TALAKA.
imekuwa posho ya ndoa kwa kugawana mali, hapa naomba muelewe kuwa mama atabaki kuwa mama na mtunza siri na anakujua zaidi unavyojijua kuliko huyo mke wako unajidai anakufichia siri kwamba mmeshibana, akili ya jirani unaileta kwako ili uendeshe ila mwisho inakuendesha kuwa makini.

MAMA MZAZI.
Huyu ni Mama mzazi sio mwanamke kama wanawake wengine ulimwenguni tuelewane (Sio kila Mwanamke ni Mama) mama ni mama masula ya mwanamke weka pembeni.

Kijana usijidanganye na kumwambia kila kitu mke wako hawana shukhuran tena wanawake wakarne hii 21 . Acha tuendelee kuwapa mali zetu mama zetu maana mama anaweza kukulelea watoto wako.

HAKIMI
Anaonekana Mwanaume wa ajabu ila ila kwa wanaume wapumbavu wapenda ngono na wala sio mapenzi watakubali alichokifanya. Nadhani amekubusha umuhimu wa Mama zetu kwenye Maisha yetu wala sio kitu kingine.

...... WabailahTaufik..
 
Mpenda ngono yuko radhi akuone unakufa kwa njaa na kiu akikunyima hata buku 2 tu, ila muda huo huo akiombwa vocha na demu inatumwa 10K...? [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom