Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

Kuna li panya lipo humu ndani mwangu silielewi kabisaaa
 
Paka wa nyumbani pia huwa na kawaida ya kuwaongoza wachawi ndani. Au sehemu ulipoficha ant witchcraft device.
 

Aisee,TRUE
 
Hivyo viumbe ulivyotaja ni cctv za wachawi kutap information wazitakazo.
 
Kwahiyo ile mijusi ninayokutana nayo kila asubuhi kwenye mlango wangu Ni chuma ulete🤔..maana mikubwa Kama kenge watoto..😂😂
 
Ukiona umefika stage ya kuona ufukara wako unasababishwa na panya au mijusi wenye uwezo wa kuchukuwa fedha kimuujiza basi wewe ujue ni kichaa kamili.
Jembe we ndonuna matatizo mi naishi mbezi beach kwanza hao mijusi nilikuaga naichukulia poa sas waifu alikua anaiogopa mi nikawa namuhakikishia kua hao wadudu hawana shida ! BRO. Trust vitu nilivopoteza ata nikikwambia huwezi amini acha pesa hizi mpaka nikakutana na muuni wangu job ndo kanipa misingi ko saiv nikimuona tu kadandia mtumbwi wa vibwengo maana anajuta ninavo mshagashaga!

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Nyie hivi ni kweli?mi nawachukulia poa Sana,na nawakataza kabisa watoto kuua mijusi.Yani naipenda na naamini wanasaidia kupunguza wadudu na kiimani naamini wakipendelea Sana kujakwako niishara yakua nawatoto wengi wakiume
 
Che Sandali abalichi achimwene!
 
Yqani maombi kupambana na panya?? Daah,ulokole ni upuuzi sana,kila tatizo suluhisho ni maombi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…