UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE π©
Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha.
Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri π
1. Hana tabia ya kukubali makosa
Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)β¦ hana βsamahaniβ ya kweli.
2. Anatafuta attention kwa wanaume wengine
Akikosa validation, anahangaika⦠huyu hataridhika kirahisi.
3. Ana historia ya mahusiano mengi yaliyoshindikana
Sio bahati mbaya⦠ni pattern. ukijitia mjuaji utakasikia
4. Hana heshima kwa wanaume
Leo anawadharau wengine, kesho ni zamu yako.
5. Ana mood swings za kupindukia
Leo anakupenda, kesho anakuchukia⦠ndoa itakuwa vita ya hisia.
6. Hana self-control
Anaishi kwa tamaa na hisia, sio akili.
7. Hana mwelekeo wa maisha
Hajui anataka nini⦠na wewe utapotea naye.
8. Maisha yake ni drama kila siku
Kila mtu ana tatizo naye⦠utakuwa next.
9. Anatumia mapenzi kama silaha
Anakupa au anakunyima ili akudhibiti. Atakuendesha
10. Hana misingi ya maadili
Anafuata utandawazi, sio principles.
Kama hakuheshimu⦠hata kama anakupenda, ONDOKA.
Upendo unaweza kukuingiza kwenye ndoaβ¦
Lakini tabia ndio itaamua kama utaishi kwa amani au mateso.
Chagua kwa akili, sio hisia.
βοΈAbuuabdillah