balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake.
Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu kila mahali.
Hivi nyie mnaotetea hii serikali mnaishi wapi? Naangalia taabu zote zinazowaandama watumiaji wa mwendokasi Dar Es Salaam najiuliza ,je na CCM wamo? Mfalme James wa pill was Uingereza ya England alikatwa kichwa kwa uhaini na hata Louis xvi wa Ufaransa naye alikatwa kichwa kwa uhaini.
Hi I serikali ya ccm imegeuka haini,ichinjwe.Kwa ballot box haiwezekani,