The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu.
Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU.
Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya west kutimiza malengo yao.
Ninaweza kusema kapewa hiyo nafasi kutokana utendaji wake katika bunge letu, najua wote tunafahamu ni mzuri ila kwenye mrengo wa chama Chake hibyo tuombe huko anapoenda asiende na maslah ya waliompa nafasi badala yake apiganie maono ya Pan-Africanism/
Niseme wamependa namna yako ya uongozi wa bunge letu? Naomba ujipime hapa kwa maslah mpana ya nchi yetu
All the best. Mwisho
Ujumbe wa leo haiusiani na post hapo juu
"Money is everything, but the last thingd it will buy for your are coffin, tiles, sand, cement, flowers, food and drinks for mourners, to make sure they are sending you nice and you are not coming out of that MF grave"