GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Wale hua hawatongozwi we mwambie umeoteshwa1. Ataanza kukupa Vipeperushi vya Kanisani Kwao na Kukukaribisha kwa Kutulazimisha uhudhurie Ibada zao.
au
2. Atakuambia ngoja Kwanza amshirikishe Mwenyezi Mungu na kwamba hawezi kukupa 'Mbunye' yake mpaka mfunge Ndoa.
Mnaotongoza Wanawake wa Kimakanisa ( Walokole ) poleni sana na Kazi Kwenu.
Na wengi wao huishia Kutoolewa na Kuzalishwa tu Watoto na Wababa tofauti na watafanyiwa hivyo mno hadi Akili ziwakae sawa.
Kwa experience yako tupe pia ishara itakayo nionyesha kanikubali .... maana Leo jpili nikama nimepata zali sasa cjajua nikwamba naenda pewa vipeperushi au vipi1. Ataanza kukupa Vipeperushi vya Kanisani Kwao na Kukukaribisha kwa Kutulazimisha uhudhurie Ibada zao.
au
2. Atakuambia ngoja Kwanza amshirikishe Mwenyezi Mungu na kwamba hawezi kukupa 'Mbunye' yake mpaka mfunge Ndoa.
Mnaotongoza Wanawake wa Kimakanisa ( Walokole ) poleni sana na Kazi Kwenu.
Na wengi wao huishia Kutoolewa na Kuzalishwa tu Watoto na Wababa tofauti na watafanyiwa hivyo mno hadi Akili ziwakae sawa.
Unamaanisha walokole ni makurumbembe?hewaaaa!!!1. Wale hua hawatongozwi we mwambie umeoteshwa
2. Asilimia kubwa ya wanawake wanaosali hayo makanisa ni yale makurumbembe yaliyoshindikana Duniani ila yamejivika ngozi ya kondoo na wengi ni wagonjwa
Tena manungayembeUnamaanisha walokole ni makurumbembe?hewaaaa!!!
Kwani kuzini maana yake nini?Sheeendwaaaa...
Imeandikwa USIZINI.
Du mkuu wewe ni mchunguzi nguli ni kweli unenayo1. Wale hua hawatongozwi we mwambie umeoteshwa
2. Asilimia kubwa ya wanawake wanaosali hayo makanisa ni yale makurumbembe yaliyoshindikana Duniani ila yamejivika ngozi ya kondoo na wengi ni wagonjwa
Hahaha najiandaa kumla mama mchungaji moja hiviJapo uzi wako hauna picha ila sisi tunawatafuna mpaka masister na wake wa maaskofu
Nakubaliana na ww mkuuDu mkuu wewe ni mchunguzi nguli ni kweli unenayo