Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Mambo ya kutumia akili yako unataka kuelimishwa[emoji3][emoji3][emoji3]
๐๐๐๐
Mkuu ujue unanizingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kutumia akili yako unataka kuelimishwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja na mm nichangie kidogo
Ukiona unafundishwa table manner.... angali wewe ni mtu mzima....Ujue una tatizo la msingi....
Naongezea
Ukiona unaenda kwa Mganga kutatua matatizo yako ujue unatatizo
Nadhani kwa mujibu wako pekee.
Tatizo la msingi ni vile tu we waliona, kwako laweza kua si la msingi na kuona kama ni mtu tu kujiongeza lakini kwa mwingine ikawa tofauti.
Jifunze kipya chochote unachoona kina manufaa kwako.
Hakuna aliezaliwa anajua ni kuelimishana na kukumbushana pale inapobidi.
Ni kweli watu wengi wana matatizo mengi ya msingi Sana,na hii imepelekea kutoa fursa kwa watu wengine kujifanya wanaweza kutatua hayo matatizo.chanzo cha utapeli.watu wanapigwa hela ndefu kwa matarajio hewa kabisa.
Ok nina tatizo la msingiWakuu Kwema!!
Taikon sina mengi. Leo ni haya tuu.
1. Ukiona unafundishwa namna ya kuishi na Mumeo au Mkeo, basi jua unatatizo la msingi.
2. Ukiona unafundishwa namna ya kuweka akiba, jua unatatizo la msingi.
3. Ukiona unafundishwa namna ya kutafuta Utajiri, Jua unatatizo la Msingi.
4. Ukiona unafundishwa namna ya kumtafuta Mungu, jua unatatizo la msingi.
5. Ukiona unafundishwa namna ya kuwalea watoto wako WA kuwazaa, jua unatatizo la Msingi Sana.
6. Ukiona unafundishwa namna ya kuyatunza mazingira unavyoishi, sijui mahali pakuhifadhia kinyesi, sijui mahali pakulala, Jua unatatizo la msingi.
7. Ukiona unafundishwa style za chumbani ukiwa na Mwenza wako, ujue unatatizo la msingi Sana.
8. Ukiona unataka kufundishwa namna ya kupata vitu uvipendavyo, Jua unatatizo la msingi.
9. Ukiona unamtegemea Mchungaji ati ndio akuombee Kwa Mungu, jua unatatizo la msingi kuliko unavyotegemea.
10. Ukiona unafundishwa namna ya kuzungumza, jua unatatizo la Msingi.
Mambo mengine haupaswi kufundishwa.
Hata mnyama hawezi kufundishwa Mambo hayo.
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Uliyoyaandika unaonekana una matatizo ya msingi
Si kweli mkuu, kila jambo binadamu anajifunza eidha kwa kuelekezwa au kuiga vile wengine wanafanya.Kuna mambo hupaswi kujifunza. Huitwa silika, hulka.
Ukiona unajifunza Jambo ambalo hupaswi kujifunza ujue unatatizo la msingi
Ok nina tatizo la msingi
Si kweli mkuu, kila jambo binadamu anajifunza eidha kwa kuelekezwa au kuiga vile wengine wanafanya.
Kwamfano hilo jambo la kuhifdhi pesa, hiyo ni elimu kabisa mtu hupaswa ajifunze ni namna gani nzuri atahifadhi pesa kulingana na mahali alipo. Hii si hulka kabisa kwa usafi sawa ni hulka ya bijadamu kua wasafi.
Kweli kabisa
Acha upuuzi..kama huamini wa mganga ambao babu na bibi zako waliwaamini na kutumia mitishamba wakaoana wakaziliana hadi kupatikana wewe bure wa hedi..leo unajifanya kuona havifai..kaa utulie na upompoma wako.
Usitake kila mtu aamini unachokiamini wewe.
#MaendeleoHayanaChama
Nime copy and iko lako sijasema kitu, wanitukania nini?
Ndio maana mwanzo pale nikasema ni kwa mujibu wako mkuu. Tumetofautiana hulka na kamwe hatuwezi kua sawa.Kitu kikishaitwa hulka au silika huwezi kujifunza Bali kipo ndani yako
Ndio maana mwanzo pale nikasema ni kwa mujibu wako mkuu. Tumetofautiana hulka na kamwe hatuwezi kua sawa.
Hakuna anayezaliwa anajua
[emoji28][emoji28][emoji28]..mi sipendi watu kupangiana maisha..homogeneous life halijawahi kua life la mwanadamu..our diversity and differences ndio maisha yetu.Anatatizo la msingi