Ukiona unafundishwa mambo haya ujue unatatizo la msingi



Kuna mambo hupaswi kujifunza. Huitwa silika, hulka.

Ukiona unajifunza Jambo ambalo hupaswi kujifunza ujue unatatizo la msingi
 
Ni kweli watu wengi wana matatizo mengi ya msingi Sana,na hii imepelekea kutoa fursa kwa watu wengine kujifanya wanaweza kutatua hayo matatizo.chanzo cha utapeli.watu wanapigwa hela ndefu kwa matarajio hewa kabisa.

Imagine mtu anakufundisha namna ya kusikia aibu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ok nina tatizo la msingi
 
Kuna mambo hupaswi kujifunza. Huitwa silika, hulka.

Ukiona unajifunza Jambo ambalo hupaswi kujifunza ujue unatatizo la msingi
Si kweli mkuu, kila jambo binadamu anajifunza eidha kwa kuelekezwa au kuiga vile wengine wanafanya.

Kwamfano hilo jambo la kuhifdhi pesa, hiyo ni elimu kabisa mtu hupaswa ajifunze ni namna gani nzuri atahifadhi pesa kulingana na mahali alipo. Hii si hulka kabisa kwa usafi sawa ni hulka ya bijadamu kua wasafi.
 


Kitu kikishaitwa hulka au silika huwezi kujifunza Bali kipo ndani yako
 

Nime copy and iko lako sijasema kitu, wanitukania nini?
 
Anatatizo la msingi
[emoji28][emoji28][emoji28]..mi sipendi watu kupangiana maisha..homogeneous life halijawahi kua life la mwanadamu..our diversity and differences ndio maisha yetu.

Mbaya zaidi kuna watu alimezeshwa matango poli kuwa imani zetu zilikua mbaya ilihali ndizo zilizo walea na kuwatunza wazee wetu hadi sisi kuja kuzaliwa mbona tuzibeze?

Kama unaona hazi fai kaa kimya abudu zi zokufaa hujalazimishwa..leo hii ushoga ni haki za kibinadamu ila kuwa na wake wengi ni kosa...brainwashed creatures ni tatizo sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…