Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
[emoji28][emoji28][emoji28]..mi sipendi watu kupangiana maisha..homogeneous life halijawahi kua life la mwanadamu..our diversity and differences ndio maisha yetu.
Mbaya zaidi kuna watu alimezeshwa matango poli kuwa imani zetu zilikua mbaya ilihali ndizo zilizo walea na kuwatunza wazee wetu hadi sisi kuja kuzaliwa mbona tuzibeze?
Kama unaona hazi fai kaa kimya abudu zi zokufaa hujalazimishwa..leo hii ushoga ni haki za kibinadamu ila kuwa na wake wengi ni kosa...brainwashed creatures ni tatizo sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly utofauti wetu ndio unafanya maisha yaende na tuweze tegemeana.Na nilichoandika ndio hiko
Nina tatizo la msingi, tena msingi wa zege.... Naomba kufundishwa namba 2.
Ahsante
Kuna watu utasikia kesho itajitegemea yy kila akipata anatapanya zote, kesho anaanza upya na full stress dahh hakika watu Kama Hawa wanahitaji kufundshwa mkuuKwenye suala akiba nakuunga mkono mkuu.
Sijui, naomba kufundishwaUkijua kuishi Kwa dharura basi utaweza kuweka akiba
[emoji23]Sijui, naomba kufundishwa
Sijui, naomba kufundishwa
Nipo serious π[emoji23]
[emoji1787]Nipo serious [emoji16]
Unazaliwa unajua kutunza pesa, unajua usafi hii chai mkuu.Hulka Kwa mwanadamu
Silika Kwa wanyama
Hufanana.
Namba 9 imewafanya watu wengi kuwa watumwa na wengi wao hawajui kuwa nabii wa maisha yako ni wewe mwnyewe
Unazaliwa unajua kutunza pesa, unajua usafi hii chai mkuu.
Sikukuelewa hapo nimekupata.Mambo mengi mtu hujifunza mwenyewe kuliko kufundishwa.
Ukiona mwanamke anaomba omba pesa ujue ana tatizo la msingi