Ukiona unamueleza mtu wazo lako au maono yako na anafurahia sana basi jiulize sana.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Ni vigumu sana watu kukuelewa wakati una tekeleza maono yako. ni vigumu sana tena mno.Watakuja kukuelewa baada sana.

Ndo maana mtu akija hata na wazo la kufuga panya ni vigumu kueleweka.

Watu huja kukuelewa baadae sana wanapo kuona katika Dunia nyingine hapo ndo watajiuliza kumbe yule jamaa huku ndo alikuwa anaenda?

Ukiona mtu anafurahia maono yako na kukuunga mkono jiulize mara 100 100.

Na ukiona unapingwa sana tena mno kwenye aidea yako basi kaza buti na songa mbele na wazo lako, hiki ni kipimo cha kwamba uko sahihi katika wazo lako.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweri chief, ndiomaana mtu mpambanaji anafanikiwa akisimamia wazo lake na kuliamini.
 
Hakika boss,unani inspire sana for your threads.Thank you



N O-next Opportunity.


Stop NOT,fear NOT-Grab yo destiny
 
 
Mhm sijui umetumia kipimo gani kupima hoja zako ila binafsi naona hazina mantinki.
 
Huwa tunafurahia ili wawahi kumaliza mazungumzo maana huwa mna talk talk sana mnapitiliza kituo

Don't mind me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…