CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ni vigumu sana watu kukuelewa wakati una tekeleza maono yako. ni vigumu sana tena mno.Watakuja kukuelewa baada sana.
Ndo maana mtu akija hata na wazo la kufuga panya ni vigumu kueleweka.
Watu huja kukuelewa baadae sana wanapo kuona katika Dunia nyingine hapo ndo watajiuliza kumbe yule jamaa huku ndo alikuwa anaenda?
Ukiona mtu anafurahia maono yako na kukuunga mkono jiulize mara 100 100.
Na ukiona unapingwa sana tena mno kwenye aidea yako basi kaza buti na songa mbele na wazo lako, hiki ni kipimo cha kwamba uko sahihi katika wazo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app