Ukiona unatongoza sana huku na kule fahamu tu umeshapoteza power

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri.

Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k

You don't need to chase anything in this entity.

Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo tu.

Usifocus na hard work focus na work smart tu.
 
Kila kitu kinavutwa iwe pesa ,mpenzi , good life n.k

You don't need to chase anything in this entity.

Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo tu.

Usifocus na hard work focus na work smart tu.
We umeacha kutongoza tongoza hovyo humu JF na kutoa namba zako kwa kila ID ya kike? Acha dhiki ya uchi, utakuja bakwa we dogo.
 
😁😁😁Sasa hausemi nimemtogoza nani mkuu weka hiyo message niliomtongoza MTU hapa JF.
Umeiona hiyo bwana mdogo. Kuwa makini kidogo, usiwe unajirahisisha kwenye ID za kike. Wengi ni wajuba, watakuja kukulawiti. Hata kama u mshamba na una shida ya uchi. Jitahidi kutotoa namba zako hovyo hovyo. JF sio salama kihivyo.
 
😁😁😁 weka ushahidi acha kuruka ruka screenshot hiyo message niliyokutongoza.
 
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri.

Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k

You don't need to chase anything in this entity.

Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo tu.

Usifocus na hard work focus na work smart tu.
fact.
 
Back
Top Bottom