DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi.
Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.
Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua fahamu tu kile kitu Mungu amekuwekea ndani yako ni kikubwa sana na ili kionekane inabidi kuangalia aina ya mazingira yatakayoendana na ndoto zako.
Nimepata aya mafunuo baada ya kusoma kitabu cha Joel Osten "become a better you"
Kimantiki na kimaana
👇Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.