Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Kama ni soft copy naomba kitabu kiongoz .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize waliojenga Kerege wakupe ushuhuda, Wahindi siyo wajinga kuishi mjini.Kama una uwezo kidogo tafuta kaeneo nje kidogo ya mji, Jenga hata vyumba viwili.
Utashangaa unafanya Mambo makubwa.
Kuna utulivu na muda wa kutosha kutafakari Mambo ya msingi ya maendeleo.
Kufanikiwa kiuchumi, sio Mambo ya abracadabra, ni sayansi, tupu,Malaysia, Dubai, china, USA, na South Afrika, hazikuendelea kwa bahati mbaya au bahati nasibu ya kuhama hama, watu walichangsnya sayansi, taarifa, tekinolojia, Mambo yakatokea.Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi.
Kimantiki na kimaana[emoji116]
Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.
Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua fahamu tu kile kitu Mungu amekuwekea ndani yako ni kikubwa sana na ili kionekane inabidi kuangalia aina ya mazingira yatakayoendana na ndoto zako.
Nimepata aya mafunuo baada ya kusoma kitabu cha Joel Osten "become a better you"