DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ujumbe murua!Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo aina maji ya kutosha na ukakua na kustawi.
Kimantiki na kimaana
π
Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.
Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua fahamu tu kile kitu Mungu amekuwekea ndani yako ni kikubwa sana na ili kionekane inabidi kuangalia aina ya mazingira yatakayoendana na ndoto zako.
Nimepata haya mafunuo baada ya kusoma kitabu cha Joel Osten "become a better you"
Uzi mzuri.
Success means you have failed many times hence you know all the tricks...Tusichoke kujaribu.
Uzi mzuri.
Unaweza kutaka kuondoka ila taimingi hairuhusu mkuu.Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo aina maji ya kutosha na ukakua na kustawi.
Kimantiki na kimaana
π
Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.
Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua fahamu tu kile kitu Mungu amekuwekea ndani yako ni kikubwa sana na ili kionekane inabidi kuangalia aina ya mazingira yatakayoendana na ndoto zako.
Nimepata haya mafunuo baada ya kusoma kitabu cha Joel Osten "become a better you"
Wapalestina wote basi wahame Gaza.Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi.
Kimantiki na kimaanaπ
Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.
Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua fahamu tu kile kitu Mungu amekuwekea ndani yako ni kikubwa sana na ili kionekane inabidi kuangalia aina ya mazingira yatakayoendana na ndoto zako.
Nimepata aya mafunuo baada ya kusoma kitabu cha Joel Osten "become a better you"
Ila hautopata wachangiaji wengi hupenda nyuzi za mbususu
Pole pia hongera kwa Hatua uoiyopiga hakika lipo kusudio la wewe kuyapitia hayo.Safi mkuu, yani kweli tupu, mfano ni mimi mwenyewe, kuna sehemu nilikaa takriban miaka sita katika utafutaji, lkn nimekutana na misukosuko ikiwemo kwenda jela takriban miezi kumi,, lkn baada ya kutoka nilibadilisha upepo na nashukuru mungu kwa sasa hali yangu kimaisha hali gani si marehemu, tofauti na kule nilikotoka japo kwa muda mchache tu, na nazidi kuuona mwanga Zaidi kadri siku zinavyokwenda,,
Kwa heshima na taadhima naomba niunge mkono hoja π€