Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi.
Kimantiki na kimaana
[emoji116]
Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo kwako yanaweza kukufanya kushindwa kutimiza zile ndoto zako kubwa zilizopo ndani yako na kuendelea kubaki pale pale.
Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua fahamu tu kile kitu
Mungu amekuwekea ndani yako ni kikubwa sana na ili kionekane inabidi kuangalia aina ya mazingira yatakayoendana na ndoto zako.
Nimepata aya mafunuo baada ya kusoma kitabu cha
Joel Osten "
become a better you"