Kabla ya kuachwa mara nyingi kunakua na vijitabia au viashiria ambavyo wenza wetu hutuonyesha ila kwa vile wanasema mapenzi ni upofu tunakua hatuvioni viashiria hivyo. Saa nyingine tunaviona viashiria vyote ila inakua ngumu kukubaliana na ukweli wa kuwa mwezangu anataka kuend uhusiano.
Kwa upande wangu nikitaka kuacha huwa sioneshi tabia yeyote mbaya ambayo mhusika atastukia. Nakua mpole mkimya kila anachosema anachofanya hata kama anakosea kwangu ni hewala tu simpingi kwa chochote.
Baada ya hapo kinachofatia ni kibuti cha kimya kimya alaf nampiga block sehem zote na hatoniona wala kunisikia tena. Na akiwa king'ang'anizi hapo ndo ataiona rangi yangu ambayo hakuwahi kuiona hata siku moja!
Wee una kiashiria chako chochote ukitaka kuacha?