Ukiona vijitabia gani au viashiria gani ujue unakaribia kupigwa kibuti?

Mimi hela mpaka nitoe au kumpa mwanamke mimi mwenyewe, mwanamke akishaanza kuniomba hela tu, basi huyo kajipiga ban mwenyewe tena kwa kupenda kwani namblock ujumla. Ni ujinga mwanamke kujiingiza kwenye mahusiano na kutaka kuwa mzigo wa mtu ili awatunze ndugu na wazazi wake.
 
Kibongobongo ziko 3 Common.

1. Mawasiliano kupungua na sababu kubwa ni niko busy, nimechoka, niliwahi kulala.

2. Ku ignore simu zako, unaweza piga isipokelewe kwa wakati. Baadae haipokelewi kabisa na kuna nyakati utaikuta ipo busy haswa mida ya saa 3-4 ile ila wewe hupigiwi🤣

3.Excuses zinakuwa nyingi kama mlikuwa mnaonana frequently basi atakuwa anakosa muda wa kuja. My friend andaa kitaulo cha kufuta mchozi.
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…