Ukiona wewe ni mpinzani na Sisi CCM tunakuunga mkono, wewe sio mpinzani ni rafiki yetu wa karibu

gwanseri

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
379
Reaction score
1,081
Labda Leo tuwaeleze kwa kifupi Sana.

Ukiona wewe ni mpinzani, au unajiita mpinzani kisiasa lakini Sisi WanaCCM tunakuunga mkono kwa maneno na vitendo basi fahamu wewe sio mpinzani wetu Bali ni rafiki yetu wa karibu.

Na ukiona wewe ni mpinzani na Sisi ccm hatukuungi mkono na tunakuchukia Sana na kusema vibaya juu yako fahamu wewe ndio mpinzani wa kweli.
 
Wale vijana wa ccm members wa humu walitia aibu kumpigia debe mbowe na kumsigina lissu. Wamepiga tumba mpaka wakazidiwa na wamekimbia haijulikani kama watarudi tena kumpigia debe mbowe na siku za uchaguzi wa chadema zinakaribia. Haya heche kaja kwenye mtanange na anamuunga mkono lissu, ni collabo ya watu chuma, ccm watatapatapa mpaka wataishiwa propaganda chafu dhidi ya watu chuma hao wapinzani wa kweli. Ccm waendelee tu kumpamba mbowe ashinde na kuendelea kuwa rafiki yao mwenye upinzani laini
 
Huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom