Wale vijana wa ccm members wa humu walitia aibu kumpigia debe mbowe na kumsigina lissu. Wamepiga tumba mpaka wakazidiwa na wamekimbia haijulikani kama watarudi tena kumpigia debe mbowe na siku za uchaguzi wa chadema zinakaribia. Haya heche kaja kwenye mtanange na anamuunga mkono lissu, ni collabo ya watu chuma, ccm watatapatapa mpaka wataishiwa propaganda chafu dhidi ya watu chuma hao wapinzani wa kweli. Ccm waendelee tu kumpamba mbowe ashinde na kuendelea kuwa rafiki yao mwenye upinzani laini