Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Yeye anaona kaandika cha maana basiNa huu ndiyo udhaifu mkubwa wa JF! Yaani unabeba kila aina ya takataka!
Basi mleta uzi atakuwa kichwa chake ndani kimejaa makamasiSi Kila Mwenye Kichwa Ndani Kuna Ubongo Wengine Ni Ice Cream.
Wewe ni mbululaMsimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Tena Ni Makamasi Ya MbuziBasi mleta uzi atakuwa kichwa chake ndani kimejaa makamasi
Kila mechi wanasaudia wasiojiwezaMsimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Uyo kweli mjinga😀😀ina maana haijui nguvu iliyopo kwenye kusaidia yatima na wajane? Hajui ata yeye akifanya ivyo atapata baraka? Na iyo ndo siri ya unbeaten za yanga, izo baraka upatikana ata bila kuagizwa na mganga kama anavyodai uyo kilaza wa simbaHivi huyu mjinga aliwezaje kujiunga jf?
Dah argument zingine buana ni hatari!Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilivyojua ni mbumbumbu hata sijaangaika kusomaHivi huyu mjinga aliwezaje kujiunga jf?