Ukiona Yanga wanakimbilia kusaidia yatima ujue gemu yao imewakalia vibaya

Mikia hakuna kitu nyie msiumizwe vichwa. Mikia nawafananisha na ccm tu
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Wewe ni mbulula
 
Kila mechi wanasaudia wasiojiweza
 
Hivi huyu mjinga aliwezaje kujiunga jf?
Uyo kweli mjinga😀😀ina maana haijui nguvu iliyopo kwenye kusaidia yatima na wajane? Hajui ata yeye akifanya ivyo atapata baraka? Na iyo ndo siri ya unbeaten za yanga, izo baraka upatikana ata bila kuagizwa na mganga kama anavyodai uyo kilaza wa simba
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Dah argument zingine buana ni hatari!
 
Back
Top Bottom