Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
mi kuanzia siku hiyo ntamnunulia box zima ili asipate sana shida
hiyo ctafanya, aendelee kujinunua tu, na wala ctambeza kabisa, ctamuuliza lolote na nitajua amefanya makusudi mana lilitakiwa liwe makini japo linakula huko nje lakini nicjue jamani.