mi kuanzia siku hiyo ntamnunulia box zima ili asipate sana shida
Ntavumilia mpaka mwisho kwa ajili yako ziondaughter wangu.
Hizo nyimbo nani kakufundisha? unataka kunigombanisha humu JF? mwenzio bifu sijalizoea.Labda uahidi kunilinda.
Hizo nyimbo nani kakufundisha? unataka kunigombanisha humu JF? mwenzio bifu sijalizoea.Labda uahidi kunilinda.
Niko radhi kufa kwa ajili yako. Ulinzi wa uhakika. Ushasahau kale ka msemo: Kama unampenda utamlinda.
Mwambie kabisa uko kwa ajiri ya Masanilo na si kila mtu!
Nahitaji na mashahidi 4.Nakupa uhuru u-propose.SHE -2 & HE-2
Mwambie kabisa uko kwa ajiri ya Masanilo na si kila mtu!
Hahahahah.MJ1 na Nyamayao nawaamia,Sina imani na wapwa zako.Na hizi kura itabidi ziwe 3 kwa 4.Vinginevyo ntakuwa sikuaminii.He: Wapwa Fidel + Nguli
She: Hahahaha! Lol! Utata: Lakini nadhani MJ1 na Nyamayao watafaa.
nitampongeza na kumwambia ahakikishe anazitumia sio mapambo tu. Ila nae akikuta kwangu asilalame
Hahahahah.MJ1 na Nyamayao nawaamia,Sina imani na wapwa zako.Na hizi kura itabidi ziwe 3 kwa 4.Vinginevyo ntakuwa sikuaminii.
kuna dada mmoja alikua anamwekea mumewe condom kwenye bag kila akisafairi, jamaa siku akamuuliza mkewe akamwambia wewe ni mwanaume na huko uendako unakutana na mademu kibao na tamaa inakuwepo, so ni bora nikuweke ili usije kufa kwa ngoma kuliko kujidai hufanyi, so jamaa mkewe yupo free ili kuepusha kuambukiza ukimwi
mi kuanzia siku hiyo ntamnunulia box zima ili asipate sana shida
Duh ,hii kali.sasa njia ya uzazi wa mpango si mnapanga wote wawili mtumie njia gani? au anakurupuka tu na kuleta kondomu ? hapo inaonyeshana mawasiliano ya hao wawili ni hafifu.jamani condom zinatumika katika kuzuwia ujauzito kwa watu walioko kwenye ndoa pia!
mzee nikimkuta nazo itabidi anipe maelezo, manake pengine kapita kwa dktari kaona njia hiyo ya uzazi wa mpangilio inafaa zaidi kuliko kuambiwa "leo siku mbaya"
narudia tena carmel......will u marry me....????
Kula tano...! Kuna siku nilijisahau kuzitoa kwenye dashboard, mamsap katika pekua pekua akazikuta pale rough riders ...akaniuliza vipi tena hizi....nikawa mkali vijana wa garage hawa wajinga sana.....akaniambia inamaana wewe huwa hutumii ? Nikaishia kumwambia tuheshimiane, ila ujumbe ulinifikia!
nitampongeza na kumwambia ahakikishe anazitumia sio mapambo tu. Ila nae akikuta kwangu asilalame