PreGE2025 Ukiondoa CHAUMMA, CCM wenye kujua idadi ya Wabunge wao tayari, Vyama vingine vimeahidiwa Wabunge wangapi na Dola ya CCM ?

PreGE2025 Ukiondoa CHAUMMA, CCM wenye kujua idadi ya Wabunge wao tayari, Vyama vingine vimeahidiwa Wabunge wangapi na Dola ya CCM ?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Sisi CHADEMA ,tunamtaka Mabadiliko , hatutaki mbeleko, tunataka tushinde Kwa Haki na tushindwe Kwa Haki.!!.

Hivi ACT Wazalendo, SAU, TADEA, ADC, AFP, DP, UPDP, UDP, NCCR? ina maana nyinyi mnaona sawa Wenzenu CHAUMMA wapewe Magari, Helkopita, Fedha, Wasanii ?

Kwanini na nyinyi msidai hayo tena mkiwatishia Kuungana na Chadema ?
 
Sisi CHADEMA ,tunamtaka Mabadiliko , hatutaki mbeleko, tunataka tushinde Kwa Haki na tushindwe Kwa Haki.!!.

Hivi ACT, SAU, TADEA, ADC, AFP, DP, UPDP, UDP,NCCR ?? inamaana nyinyi mnaona Sawa Wenzenu CHAUMA wapewe Magari, Helkopita, Fedha, Wasanii ??.

Kwanini nanyinyi msidai hayo tena mkiwatishia Kuungana na Chadema ?
Ushahidi hakikika kuwa wameahidiwa uko wapi?

CHADEMA inapukutika hiyo kwa majibu rahisi kama haya
 
Back
Top Bottom