Ukiondoa Diploma, Degree au PhD uliyonayo, kichwa chako kinabaki na nini?

Akili ni nini ? Hakuna Binadamu asiye na akili hata wanyama wana akili..., Sasa kuna kitu kinaitwa reasoning na hicho kinakuja na practice ya kujiuliza na kutafiti hivyo kuondoa ujinga, watu wapo tofauti katika uharaka wa kushika mambo, kufanya connections za hiki na kile na pia kutumia ubongo kutatua matatizo yanayowazunguka..., kwahio mambo ya shule, mtaani au lolote lile ni experience na connections sasa kwanini uondoe hizo connections ambazo kama uliongeza knowledge hivyo inapaswa kukuongezea reasoning ? Ukiondoa zote basi utakuwa umetoa kitu fulani na pia shule sio darasani tu shule ni experience na changamoto zote ulizozipata maisha yako yote; na inabidi shule usiwe unalishwa tu bali pia uwe mtu wa ku question na kwenda extra mile...

Ndio maana wazri mkuu kasema wenye hizo standard za elimu waende VETA, wakapate ujuzi na maarifa, maana ukiondoa elimu hizo watabakiwa na sifuri, debe tupu
Na baada ya kutoa kauli hiyo alionekana ni Fala.
 
Akili Kila mtu anayo tatizo ni kwamba watu wengine wanatumia vibaya wengine wanatumia vyema.
 
Sijui hata nini kitabaki kwangu, 😂😂😂😂
 
Wasioshule wanamajungu sana dhidi ya Walioshule.
Nyie toeni mbinu za matobozi wa vijana acheni Taarabu za kutugawa.
Na wanatupatia kweli kweli. Inaanzishwa vita mnaishia kulumbana wenyewe Kwa wenyewe wao wanasonga mbele
1. Udini. Politician kujifichia kwenye Udini linapokuja suala la mustakabadhi wa nchi. Eg ubinafsishaji baadhi mlijionea. Kilichotokea ni Dini hii kusuport na nyingine kupinga
2.Simba na Yanga
3. Waliosoma kugomea Veta na wasiosoma kuona ni vyema waliosoma waende Veta. Hapa maana yake si mnajifanya mlikuwa mnajua kusoma haya sasa nendeni
Veta
4.Masomi wa mabasi ya njano na kayumba. Hapa wote ni failure bila kujijua lakini wao Kwa wao wamebakia kulumbana maana wote wanatoka hawana ujuzi ila mmoja anajinadi kujuajua kiingereza. Aisee Mimi nahitaji fundi ujenzi siitaji fundi kiingereza.🤣🤣

5. Sasa hivi naona mchina na mmachinga wanapashapasha misuli. Baadhi wanaona ni sawa wengine wanaona sio sawa.
6.Ukabila. naona huu siku hizi kama Hauna nguvu sana ila pia ilikuwa ni silaha Yao
 
Ndio maana wazri mkuu kasema wenye hizo standard za elimu waende VETA, wakapate ujuzi na maarifa, maana ukiondoa elimu hizo watabakiwa na sifuri, debe tupu
Kwani veta wanaenda kupata nini? Hata huo ujuzi ni elimu
 
Na wanatupatia kweli kweli. Inaanzishwa vita mnaishia kulumbana wenyewe Kwa wenyewe wao wanasonga mbele
1. Udini. Politician kujifichia kwenye Udini linapokuja suala la mustakabadhi wa nchi. Eg ubinafsishaji baadhi mlijionea. Kilichotokea ni Dini hii kusuport na nyingine kupinga
2.Simba na Yanga
3. Waliosoma kugomea Veta na wasiosoma kuona ni vyema waliosoma waende Veta. Hapa maana yake si mnajifanya mlikuwa mnajua kusoma haya sasa nendeni
Veta
4.Masomi wa mabasi ya njano na kayumba. Hapa wote ni failure bila kujijua lakini wao Kwa wao wamebakia kulumbana maana wote wanatoka hawana ujuzi ila mmoja anajinadi kujuajua kiingereza. Aisee Mimi nahitaji fundi ujenzi siitaji fundi kiingereza.🤣🤣

5. Sasa hivi naona mchina na mmachinga wanapashapasha misuli. Baadhi wanaona ni sawa wengine wanaona sio sawa.
6.Ukabila. naona huu siku hizi kama Hauna nguvu sana ila pia ilikuwa ni silaha Yao
Mchina na winga😂
 
Kinabakia na madini mengi sana,ila elimu nayo imeniongezea mambo mengi sana mazuri, namshukuru Mungu
 
*

Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni walichofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.

Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.

Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.

Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakaweka utaratibu wa mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Kama huamini jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?

So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.

Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.

Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4.

Kumbuka Einstein alisema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Jiulize ukiondoa yale uliyofundishwa darasani unabaki na ni
Nabaki na elimu ya mtaa ambayo nilifundishwa na walionizunguka.
 
Sasa ukiondoa hivyo sio ndio umeondoa maarifa yenyewe? Au unazungumzia wale wa kununua vyeti?
 
Akili mtu uzaliwa nayo kama usemavyo,kinahitajiwa ni data ili akili izitumie kutimiza makali yake,sasa data waweza zipata shule,katika jamii yako, mazingira yako nk nk,,lkn elimu yetu tz haimfanyi mtu kuitumia akili yake ipasavyo!!,,Ndo maana mfano alosomea electrical engineering anataka lazima afanye kazi tanesco,haoni fursa nyingine nje ya hapo,ni maajabu sana haya.
 
*

Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni walichofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.

Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.

Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.

Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakaweka utaratibu wa mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Kama huamini jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?

So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.

Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.

Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4.

Kumbuka Einstein alisema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Jiulize ukiondoa yale uliyofundishwa darasani unabaki na ni
Kinachokusumbua ni inferiority complex. Usilinganishe dunia ya kina Isac Newton, katafute elimu maana ipo inatolewa.
 
Hii ni changamoto Kwa ngazi zote sio Kwa level za diploma,cheti na shahada na shahada ya pili na uzamivu bali hata ngazi ya CSEE na ACSEE yaan kidato cha nne na cha sita bado ni changamoto
Unapomaliza shule au chuo na kwenu hakuna uwezo WA kifedha na ukawa Huna ujuzi unahangaika Sana kutafuta Kazi na kuna muda unapata Kazi ngumu Sana yaani kuna msemo WA Kiswahili unasema ukishindwa kuchagua cha kufanya , maisha yanakuchagulia
 
Back
Top Bottom