Na baada ya kutoa kauli hiyo alionekana ni Fala.Ndio maana wazri mkuu kasema wenye hizo standard za elimu waende VETA, wakapate ujuzi na maarifa, maana ukiondoa elimu hizo watabakiwa na sifuri, debe tupu
Thus wagunduzi na wavumbuzi wote hawakwenda shule
ila ukweli kawaambia, ipo siku watamkumbukaNa baada ya kutoa kauli hiyo alionekana ni Fala.
Wape muongozo.
Na wanatupatia kweli kweli. Inaanzishwa vita mnaishia kulumbana wenyewe Kwa wenyewe wao wanasonga mbeleWasioshule wanamajungu sana dhidi ya Walioshule.
Nyie toeni mbinu za matobozi wa vijana acheni Taarabu za kutugawa.
Kwani veta wanaenda kupata nini? Hata huo ujuzi ni elimuNdio maana wazri mkuu kasema wenye hizo standard za elimu waende VETA, wakapate ujuzi na maarifa, maana ukiondoa elimu hizo watabakiwa na sifuri, debe tupu
Mchina na winga😂Na wanatupatia kweli kweli. Inaanzishwa vita mnaishia kulumbana wenyewe Kwa wenyewe wao wanasonga mbele
1. Udini. Politician kujifichia kwenye Udini linapokuja suala la mustakabadhi wa nchi. Eg ubinafsishaji baadhi mlijionea. Kilichotokea ni Dini hii kusuport na nyingine kupinga
2.Simba na Yanga
3. Waliosoma kugomea Veta na wasiosoma kuona ni vyema waliosoma waende Veta. Hapa maana yake si mnajifanya mlikuwa mnajua kusoma haya sasa nendeni
Veta
4.Masomi wa mabasi ya njano na kayumba. Hapa wote ni failure bila kujijua lakini wao Kwa wao wamebakia kulumbana maana wote wanatoka hawana ujuzi ila mmoja anajinadi kujuajua kiingereza. Aisee Mimi nahitaji fundi ujenzi siitaji fundi kiingereza.🤣🤣
5. Sasa hivi naona mchina na mmachinga wanapashapasha misuli. Baadhi wanaona ni sawa wengine wanaona sio sawa.
6.Ukabila. naona huu siku hizi kama Hauna nguvu sana ila pia ilikuwa ni silaha Yao
Nabaki na elimu ya mtaa ambayo nilifundishwa na walionizunguka.*
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.
Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni walichofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.
Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.
Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.
Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakaweka utaratibu wa mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Kama huamini jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?
So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.
Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.
Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4.
Kumbuka Einstein alisema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Jiulize ukiondoa yale uliyofundishwa darasani unabaki na ni
Sasa ukiondoa hivyo sio ndio umeondoa maarifa yenyewe? Au unazungumzia wale wa kununua vyeti?*

Kinachokusumbua ni inferiority complex. Usilinganishe dunia ya kina Isac Newton, katafute elimu maana ipo inatolewa.*

Complexity kwenye area ganiKinachokusumbua ni inferiority complex. Usilinganishe dunia ya kina Isac Newton, katafute elimu maana ipo inatolewa.