Ukiondoa English, 50% ya Wakenya jobless!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kazi zao ni English language tu, hiyo ndiyo skill pekee wanayojifunza maishani mwao, hivyo ukiondoa English language, nchi yote inakuwa jobless, hata Mahakamani nimeona kwenye TV iligeuka darasa la English language badala ya ishu!

Reli yote sgr wamejenga Wachina hkn engineers wa Kikenya, TV zao ni English language tu hakuna kingine, ...
 
Ok....umefurahi sasa?
 
Tuseme ukweli , wanaentreprenuarship skills znuri.Hata machinga wakule wako vizuri siyo kama hapa kwetu.Mji waNairobi uko maratatu au nne ya Dar kwa Barabara, Usafi,majengo na Biashara za uhakika.Wakiendelea hivi watafika mbali. Kwakweli wanajitahidi sana

Kwa hiyo unataka kusema nini?
Bora yao hao wakenya wanaoweza kuongea Lugha ya Malkia kwa ufasaha kuliko watanzania wasiojua chochote zaidi ya kukimbiza mwenge na kukesha kucheza ngoma za kikabila tu.

Kumbuka pia, kujua lugha ya malkia ndio kigezo cha kuitwa msomi hapa Tanzania na kigezo muhimu cha kuajiriwa hapa Tanzania.
 
Tuseme ukweli , wanaentreprenuarship skills znuri.Hata machinga wakule wako vizuri siyo kama hapa kwetu.Mji waNairobi uko maratatu au nne ya Dar kwa Barabara, Usafi,majengo na Biashara za uhakika.Wakiendelea hivi watafika mbali. Kwakweli wanajitahidi sana
ndugu utamuumiza Barbarosa kwa matamshi haya
 
Kazi zao ni English language tu, hiyo ndiyo skill pekee wanayojifunza maishani mwao, hivyo ukiondoa English language, nchi yote inakuwa jobless, hata Mahakamani nimeona kwenye TV iligeuka darasa la English language badala ya ishu!

Reli yote sgr wamejenga Wachina hkn engineers wa Kikenya, TV zao ni English language tu hakuna kingine, ...
Usiwafananishe wakenya na ww MTU wa chato, nadhani huwajui ila unaskia tu stor
 
Kutokujua English ndiyo kunamfanya Rais wako akwepw kwenda nje.. juzi linaongea Merelaji badala ya kusema loyalty eti loyality..mzxxx
 
Ila akili ya Mkenya mmoja mfuasi wa Muungano wa Jubilee ambao ndiyo waliokuwa wakiongoza nchi ni sawa na akili za wanaCCM 1,000 hapo sijazungumzia wale wa upinzani.
 
Mimi niliefika Kenya maoni na maono yangu yapo tofauti na Barbarosa. Kama ungelisema nje ya Afrika waTanzania wajanja kuliko waKenya ningelikubali 100%.
 
Kazi zao ni English language tu, hiyo ndiyo skill pekee wanayojifunza maishani mwao, hivyo ukiondoa English language, nchi yote inakuwa jobless, hata Mahakamani nimeona kwenye TV iligeuka darasa la English language badala ya ishu!

Reli yote sgr wamejenga Wachina hkn engineers wa Kikenya, TV zao ni English language tu hakuna kingine, ...
Pamoja na hayo wanatupiga sana kiuchumi
 
Barbarosa Kuna jamaa alikujibu sehemu kwamba albadir iliyopigwa huko kwenu baada ya SMG imekuelekeza kwa Wakenya unabwatuka balaa.
 
Mm cjawai hata ck moja kuielewaa Nairob mji mchaaafu kulikoo... umejengwa sawaa lakini hauelewekii...
 
Back
Top Bottom