Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uko na minyoo
You are sick. A Kenyan to you must be black na pia watanzia. Hapo waarabu na rangi zingine tanzania ni wanyama porini. Pathetically sick!Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
Lakini ukiangalia kwenye takwimu za dunia Kenya ndiyo nchi inayoendelea katika nchi zote za Africa Mashariki na kati(Kenya is the only country marked as Developing country) zote ni under developed countries(masikini)!