Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Inashangaza sana, hata wabunge wanaopinga ufisadi na kutetea masilahi ya taifa kama Luhaga Mpina wanabatizwa kuwa hao ni kundi ka Sukuma gang!
Kwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi tunataka uwajibikaji na kukomesha wizi na uzalendo. Hivyo mliokuwa mnawatukania na kumdhihaki aliyewafia mikononi mwao ndiyo hao hao watawalambisha udogo.
Uzuri mfumo wao jamaa ni ukuta kwa ukuta huwezi jua nani ni nani na waliwaachia mkajiachia hahahaha kila mtu akajulikana na uhusika wake hahahahaha poleni sana.
Kuweni wazalendo ombeni msamaha ingawa mmechelewa kinawahusu kifo tu ili nchi iendelee. Ni kama Yesu aliposulubiwa wanafunzi wake waliteswa na wengine kuuliwa ila mwisho wa siku watesi wote walikufa na injiri ya Yesu ikahubiriwa mataifa yote.
Ndiyo ninyi wezi na wauza madawa mtakufa wote na injili ya uzalendo na uwajibikaji itahubiriwa Tanzania yote na nchi yetu itakuwa tajiri sana na kila mtu atafurahia maisha.