eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Wanaharibu sana taifa
Na sasa tumepatikana. Wale wote waliokuwa wakipiga kelele kwenye ulimwengu wa kwenye mtandao wako kiimya. Hiyo inaonesha jinsi gani wanavyojichotea asali kwenye vibuyu vyao.