Ukionekana unatetea sana maslahi ya taifa unaanza kuitwa Sukuma Gang

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Inashangaza sana, hata wabunge wanaopinga ufisadi na kutetea masilahi ya taifa kama Luhaga Mpina wanabatizwa kuwa hao ni kundi ka Sukuma gang!

Kwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi tunataka uwajibikaji na kukomesha wizi na uzalendo. Hivyo mliokuwa mnawatukania na kumdhihaki aliyewafia mikononi mwao ndiyo hao hao watawalambisha udogo.

Uzuri mfumo wao jamaa ni ukuta kwa ukuta huwezi jua nani ni nani na waliwaachia mkajiachia hahahaha kila mtu akajulikana na uhusika wake hahahahaha poleni sana.

Kuweni wazalendo ombeni msamaha ingawa mmechelewa kinawahusu kifo tu ili nchi iendelee. Ni kama Yesu aliposulubiwa wanafunzi wake waliteswa na wengine kuuliwa ila mwisho wa siku watesi wote walikufa na injiri ya Yesu ikahubiriwa mataifa yote.

Ndiyo ninyi wezi na wauza madawa mtakufa wote na injili ya uzalendo na uwajibikaji itahubiriwa Tanzania yote na nchi yetu itakuwa tajiri sana na kila mtu atafurahia maisha.
 
Sio kweli, maslahi ya taifa sio yale maovu ya unyamazishaji sauti za haki, uhuru na ukweli 🤔
 
Vyeti feki, wapiga dili na wezi hawawezi kukuelewa.
Ukitofautiana na mtu msimamo ni kwa sababu una vyeti feki au mpiga dili?
Mm sina vyeti feki lakini magufuli alikuwa kiongozi muovu wako wapi
Ben sanane kisa alihoji uhalali wa PhD fake akapotezwa
Anzory Gwanda
Alphonso mawazo
Nani alimpiga risasi tundu lisu na baadae kufukuzwa ubunge?
Maovu ya magufuli ni mengi kuliko mema yake.
Huyu kwa kiburi cha madaraka, ukabilq a ushamba aliwabomolea watu wa kimara nyumba zao na kuwaacha wale wa mwanza ati kwakuwa ndo walimchagua?
 

Wahuni siyo watu.
 
Sio kweli kweli, nyie mnachopigania ni kumtetea yule Muovu shetani mkuu aliyefukiwa Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…