Ukiota ndoto kama hii huwa inamaanisha nini?

Ukiota ndoto kama hii huwa inamaanisha nini?

Sasa kama nyoka kajitokea zake huko kaanza kupaa hajakudhuru shida hiko wapi? Wakati ujalala ulikula lakini?
 
Dah ndoto zingine hazina maana!

Mimi nimetoka kuota,niko ulaya naongea na profesa ofisini kwake,nikitoka nje ya jengo,gari la magereza likapata ajali sababu ya speed na kona kali.

Hiyo magereza ni ya hao wa Tanzania,

Baadae naona wanaongea kiswahili,na bado ndoto hiyo inaonyesha niko ulaya.

Kumbe hii ndoto ni ya saa sita na nusu mchana.

Nielezee hii ndoto.
 
Hiyo ni ndoto kama ndoto tuu Achana nazo zisikumiize kichwa.

Pia ili kupunguza ndoto mbaya , Jitahidi lala sehem hewa ya kutosha ipo,mashuka masafi, pasiwe na mbu au kunguni. Oga kabla ya kulala kupunguza pia uchovu.
 
Nimelala nimeota amenitokea nyoka mkubwa sana alafu akaanza kupaa juu yani anakwenda mawinguni.

Anajua hii inamaanisha nini aniambie..
Generally speaking, dreaming of a flying snake may symbolize transformation and a new beginning. This could be in regards to personal growth and progress, or a change in the dreamer's life path. The snake itself may represent a certain aspect of the dreamer's personality or a certain energy within them.

Kwa msaada wa gugu, mie huwa siachi kutafuta maana ya ndoto, make huwa naota vitu vinavyotokea mara nyingi.
 
Sio ndoto zote zina maana! Hata hivyo ndoto zinazohusu nyoka sio nzuri! Vilevile ukitakaupewe maana halisi ya ndoto yako lazima utoe maelezo yoote yanayojitosheleza
 
Maanake ni kuwa mazingira unayoishi sio salama, tafuta mafuta ya taa zungushia nyumba yako, jitahidi sana kuishi mazingira safi yasiyweza kumshawishi nyoka kuishi.Lkn vikevile yawezekana shangazi yako ana mimba.
 
Dah ndoto zingine hazina maana!

Mimi nimetoka kuota,niko ulaya naongea na profesa ofisini kwake,nikitoka nje ya jengo,gari la magereza likapata ajali sababu ya speed na kona kali.

Hiyo magereza ni ya hao wa Tanzania,

Baadae naona wanaongea kiswahili,na bado ndoto hiyo inaonyesha niko ulaya.

Kumbe hii ndoto ni ya saa sita na nusu mchana.

Nielezee hii ndoto.
Njaaa mzee fanya ule
 
Ndota hazinaga hualisia. Nishawahi kuota nimekufa na ninaenda kuzikwa. Wananishusha kaburini kabisa, ila wakianza kufukia ndio nashituka. Ila nikistuka nafurahi kumbe ni ndoto tu. Kukukucha naendelea na issue zangu
 
Sio ndoto zote zina maana! Hata hivyo ndoto zinazohusu nyoka sio nzuri! Vilevile ukitakaupewe maana halisi ya ndoto yako lazima utoe maelezo yoote yanayojitosheleza
Ni kweli sio zote zina maana.

Sio ndoto zote za nyoka zina maana mbaya pia. Ukiota nyoka anajivua gamba lake
  • Letting go of old habits
    If the snake sheds its skin in your dream, it may symbolize new beginnings or letting go of old habits that no longer serve you.
Mi ni mfatiliaji sana wa ndoto.
 
Nimelala nimeota amenitokea nyoka mkubwa sana alafu akaanza kupaa juu yani anakwenda mawinguni.

Anajua hii inamaanisha nini aniambie..
adui yako anapata mafanikio maKubwa kimaisha.
nyoka wa kijani adui wa kike nyoka mweusi adui wa kiume.
ndoto zote za usiku wa mamnene zina mana isipokua ni lazima ujue funguo (yaani ukiona kitu fulani kinaleta maana gani ktk ufalme wa ndoto).
ndoto za mchana,usiku wa mapema na alfajili hua haziwezi kukupa maana ya uhakika.
 
Back
Top Bottom