Ukiota ndoto umefariki ina maana gani?

Ukiota ndoto umefariki ina maana gani?

Denis Gregory

Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
92
Reaction score
108
Uhali gani kwa muda huu unaosoma post hii.

Nafurahi kushare nawe njozii hii ya utata kidogo

Nisiku kadhaa zilizo pita toka nilipoota njozi nisiyoielewa kwamba mimi ni marehemu

Maana yake nini au inausina na nini Tafadhali kama unafaamu naomba unijulishe
 
Haufi, me pia nilishaota na nikazikwa nikaanza kugonga wanifungulie nikaamka! sikuwahi kujua maana yake
 
Back
Top Bottom