Ukiota unatembea peku, uko kifua wazi, au uko uchi mbele za watu maana yake ni nini??

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Wako baadhi ya watu wanaoota ndoto wakiwa kifua wazi, wako peku, wako uchi kwenye ndoto

Ndoto zote hizo ni moja hatakama zinakuja tofauti-tofauti na tafsiri yake ni UMEFUNGWA NA ROHO YA KUKATALIWA

Asilimia kubwa ya watu wanaoota hizi ndoto mara nyingi sana wanakuwa wanapitia wakati mgumu wa maisha kwa sababu kila wanalofanya linakuwa halifanikiwi hata wafanyaje kazi kwa bidiii sababu wamefungwa na roho ya kukataliwa

Kama umeajiriwa na ukaota ndoto za kutembea peku, mara upo uchi unatembea mbele za watu na unajishangaa, au uko kifua wazi basi hapo kazini hata ujitume vipi ni ngumu kazi zako kuonekana kwa watu kwa sababu umefungwa na roho za kukataliwa

Na ukiwa kwenye biashara mambo ni yale-yale hata ufanyaje jitahada kubwa kiasi gani unakua invisible hauonekani
 
Ni ukweli mtupu
 
Unfortunately matatizo haya wanayo almost watanzania wote! Mpaka umueleweshe mtu hiyo ni special case kwake sijui unatumia mbinu ipi!

Nilishawahi kuota zamani nikaambiwa inamanisha najifunua sana mambo yangu kwa watu, nijirekebishe tabia..

Anyways sijui 🤷🏽‍♀️
 
Wako baadhi ya watu wanaoota ndoto wakiwa kifua wazi, wako peku, wako uchi kwenye ndoto

Ndoto zote hizo ni moja hatakama zinakuja tofauti-tofauti na tafsiri yake ni UMEFUNGWA NA ROHO YA KUKATALIWA

Asilimia kubwa ya watu wanaoota hizi ndoto mara nyingi sana wanakuwa wanapitia wakati mgumu wa maisha kwa sababu kila wanalofanya linakuwa halifanikiwi hata wafanyaje kazi kwa bidiii sababu wamefungwa na roho ya kukataliwa

Kama umeajiriwa na ukaota ndoto za kutembea peku, mara upo uchi unatembea mbele za watu na unajishangaa, au uko kifua wazi basi hapo kazini hata ujitume vipi ni ngumu kazi zako kuonekana kwa watu kwa sababu umefungwa na roho za kukataliwa

Na ukiwa kwenye biashara mambo ni yale-yale hata ufanyaje jitahada kubwa kiasi gani unakua invisible hauonekani
Dah dogo prezdaa siku hizi ni mwendo wa ndoto tu. Kinachofuata utakuja kutuelezea hapa umeota rinda linatatuliwa.

Red black
 
Je ukiota unatembea peku alafu viatu umeshika mkononi watu wakikuuliza unawajibu nataka kuungana na asili maana yake ni ile ile?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kuota unatembea peku, uko kifua wazi, au uko uchi mbele za watu mara nyingi huakisi msongo wa mawazo, hofu za ndani, na hali ya kujihisi huna usalama au kinga katika maisha yako halisi.

Kisaikolojia, kuonekana uchi au kifua wazi mbele ya jamii kunawakilisha hofu kubwa ya kuonekana udhaifu wako, siri zako, au mapungufu uliyokuwa ukiyaficha, na hutokea pale unapohisi watu wanakuhukumu au unapokabiliwa na majukumu mapya ambayo unahisi hujajiandaa vizuri kuyakabili.

Kwa upande mwingine, kutembea peku kunaashiria kupoteza msingi imara, mwelekeo, au msaada wa karibu, jambo linalokufanya uhisi unalazimika kupita kwenye mapito magumu ya maisha ukiwa peke yako na bila ulinzi;
hivyo basi, ndoto hizi ni ujumbe kutoka kwenye akili yako ya ndani unaokutaka ushughulikie wasiwasi (anxiety) na ujenge ujasiri wa kujikubali
 
Back
Top Bottom