Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 22,721 Reaction score 54,664 Jul 14, 2026 #21 Matunzo 02 said: duniani kusaidiana siyo vibaya kumsaidia kuku kutembea tembea Click to expand... 😂😂😂umetisha
Matunzo 02 said: duniani kusaidiana siyo vibaya kumsaidia kuku kutembea tembea Click to expand... 😂😂😂umetisha
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Jul 14, 2026 Thread starter #22 Seran said: Sijui huwa ni kwanini ukipanic tu maisha yanakugeuza unakuwa mfano, unaweza kuwa chizi Click to expand... sababu unapopanic unavunja sheria za ulimwengu lazima upate adhabu
Seran said: Sijui huwa ni kwanini ukipanic tu maisha yanakugeuza unakuwa mfano, unaweza kuwa chizi Click to expand... sababu unapopanic unavunja sheria za ulimwengu lazima upate adhabu
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Jul 14, 2026 Thread starter #23 Daudi1 said: Sisi wafugaji tunakula kuku pale tunapofulia yaani huna hela ya kula unawaambia ingia bandani kamata kuku maisha yaendelee Click to expand... nyie wafungaji kuku mnaishi nao ndo maana sisi tunaotegemea mishahara mshahara ukiisha unafanana na kuku kuzurura sana
Daudi1 said: Sisi wafugaji tunakula kuku pale tunapofulia yaani huna hela ya kula unawaambia ingia bandani kamata kuku maisha yaendelee Click to expand... nyie wafungaji kuku mnaishi nao ndo maana sisi tunaotegemea mishahara mshahara ukiisha unafanana na kuku kuzurura sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 14, 2026 #24 Life is a b.itch and death is her cousin... Cc: Mahondaw