Ukipata Changudoa huwezi acha, watu wanajua jaman acheni kabisa

Ukipata Changudoa huwezi acha, watu wanajua jaman acheni kabisa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Juzi jioni nmetoka zangu town nikapita mitaa ya kona bar mida ya saa tatu hivi. Muda nao ulikuwa umeenda kiasi ila nikawaza kila siku nasikia changu changu leo ngoja nijipatie hata mmoja nionje wakoje. Maana kuna jamaa yangu hata kuoa hataki anasema yeye akijisikia hamu anaenda anapata changu basi maisha yanasonga mbele.Basi nami nikaenda nikakamata changu mmoja. Jaman changu ni watamu sana tena nlipata mkavu kabisa. Nikamla hivi hivi sikutaka hata kutumia kitu kingine. Nikagonga wawili then ndo nikaagiza ugali nikala na changu mwingine tena. Yule mama anayajua mambo acha kabisa. Changu alikuwa amekaangwa na kuungwa na pilpil kidogo tangawizi na vitunguu swaumu. Kwan hata nlikumbuka nyumbani? Niliwagonga wale changu kwa ugali nikashushia na pepsi baridi ndo huyo nikaanza kuelekea home. Miaka yote nakula samaki sato,kibua na wengine wengine ila nmeonja changudoa sasa siachi.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaa
nimecheka kwa saut mpaka watu wamenishangaa
 
Mtoa mada unalelewa kwenu. Mara majina ya samKi mara changudoa, hongera kwa kumla mkavu kavu
 
mweeeee, hii kali kweli, bas mm mshamba maana sijui samaki aina ya changudoa
 
BIASHARA NI MATANGAZO KUMBE BADO MPO KONA BAR.
 
Back
Top Bottom