Ohoooooo....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitamkumbusha maisha yake kwenye chuo kimoja hivi.
Amen.......Nitamshukuru kwa Mengi aliyonitendea. Ni mengi sana.
Japo nimeshamshukuru sana humu lakini tukikutana ana kwa ana nitamshukuru pia.
Kwa ulozi wa huyu jamaa...[emoji15] [emoji15] Haki, hautaweza nyenyua hata mguuBila sababu ya msingi nampiga kofi halafu nakimbia nduki.
Nadhani hapa jibu ni UTASHIKwa nini anapenda kutoa thread za kichawi ???
Mshana ni mkristo wa ukweli. Lakini ni mtu mwenye kupenda kujua na kujifunza mambo/vitu ambavyo havionekani katika macho ya kawaida. Huyu jamaa ni mdadisi sanaNitamuuliza kwanini anaupenda uchawi na ulozi pia ntamshauri akoke na achome tungur zake
Sidhani kama ataweza kukuuliza lolote, na hata mkikutana siajabu asizungumzie lolote kuhusu Yale unayo yawaza na mkabakia kufurahia makutano yenu kwa bashasha na mengineyoMimi nitamuacha aniulze yeye
Atakujibu, jitahidi kujifunza na kusoma vitabu vyenye mitazamo tofauti na maisha yetu ya kawaidaNitamuomba anigawie IQ yake kidogo kwenye mambo ya kiroho.
Atakujibu kwamba.... Hata yeye anapenda kande, maana ndio home food....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntamuuliza kama ana Tsh. 100 tununue kande!
🙂 🙂Kwa ulozi wa huyu jamaa...[emoji15] [emoji15] Haki, hautaweza nyenyua hata mguu
Nilishakaa naye tukapiga story za kawaida tu hapa BukobaWadau
Ikitokea Fursa ya Kukutana na Mshana Jr utapenda kumweleza nini....??
Nini hasa Utamshauri...??
Kitu Gani Utamwambia....?
Ntaongeza kumwambia kuwa haina shida. Ntasisitiza atoe Tsh. 100 ili niamini kama kaacha ubahili. HahahahaaaAtakujibu kwamba.... Hata yeye anapenda kade, maana ndio home food....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] na ni mlokole toka rohoniMshana ni mkristo wa ukweli. Lakini ni mtu mwenye kupenda kujua na kujifunza mambo/vitu ambavyo havionekani katika macho ya kawaida. Huyu jamaa ni mdadisi sana
Kichwa kipi mkuu?? [emoji2] [emoji2]Mbona kichwa chake kuzuri??
Inasimama kaka ngongotiNingependa kumuuliza ya kuwa kuna ugonjwa inaitwa kuruka Usinga Je dalili zake ni zipo
Humu wanapigana ban?Nitamuambia akipewa ban jf ya mwaka atajisikiaje